Hamisa Mobetto na Rick Ross mahaba hadharani

Picha ya Hamisa Mobetto na Rick Ross

Usiku wa kuamkia leo staa wa muziki na filamu Bongo Hamisa Mobetto ame-make headlines mitandaoni baada ya kushea video kwenye 'Insta Story' yake akiwa na msanii wa HipHop Marekani Rick Ross.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS