Yanga yatamba na ushindi tu kila mechi

(Kikosi cha Yanga cha msimu huu wa mwaka 2021-2022)

Kocha wa Yanga, Mtunisia Mohammed Nasreddine Nabi amesema mchezo dhidi ya Mbeya Kwanza wa Ligi kuu NBC Tanzania utakaichezwa Novemba 30, 2021 utakuwa mchezo mgumu lakini anahitaji ushindi kila mechi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS