Madaktari Tanzania kupimwa kwa mambo 6 kazini

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema Wizara hiyo itawapima utendaji wao wa kila siku Waganga Wakuu na Waganga Wafawidhi nchi nzima wa vituo vya serikali kwa mambo Sita kulingana na utendaji wao wa kila siku.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS