Pochettino bora aende United - Carragher
Mlinzi wa zamani wa Liverpool Jamie Carragher amemshauri kocha wa PSG Mauricio Pochettino kujiunga na Manchester United kuchukua nafasi ya Ole Gunnar Solskjaer aliyetimuliwa kazi baada ya kuwa na matokeo mabaya ndani ya kikosi hicho.