Tumeongeza uhai wa mtu - Rais Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema kwamba katika kuelekea kutimiza miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika, nchi imepata mafanikio mbalimbali ikiwemo kupunguza kiwango cha umaskini kwa wananchi pamoja na kuongeza umri wa kuishi.