Beka Flavour apata ajali ya ajabu Msanii Beka Flavour na gari aliyopata nayo ajali Kupitia page yake ya Instagram msanii Beka Flavour ameweka taarifa za kupata ajali ya gari usiku wa kuamkia leo wakati anatoka studio kurekodi. Read more about Beka Flavour apata ajali ya ajabu