Kagera kupoteza bilioni 53.4 kisa Chato Sehemu ya eneo la mkoa wa Kagera Mkoa wa Kagera utapoteza zaidi ya shilingi Bilioni 53.4 kwa mwaka, zinazopatikana kutokana na mauzo ya dhahabu, endapo wilaya za Ngara na Biharamulo zitamegwa kwa ajili ya kuunda mkoa mpya wa Chato. Read more about Kagera kupoteza bilioni 53.4 kisa Chato