Keister apokea vitisho vya kuuawa
Kuelekea mashindano ya AFCON yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi kuanzia Januari 9, Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Sierra Leone, John Keister ameweka wazi kuwa amepokea vitisho vya kuuawa kabla ya kutangaza kikosi cha cha taifa hilo kwa ajili ya michuano kombe la Mataifa ya Afrika.

