CS Constantine yaagizwa na FIFA kumlipa Shaiboub
Shirikisho lenye dhamana ya kuongoza soka ulimwenguni (FIFA) imeiamuru klabu ya CS Constantine kumlipa fedha anazodai Kiungo walieachana nae, Sharaf Eldin Shaiboub Ali Abdelrahman ndani ya siku 45 hii ni baada ya kumvunjia mkataba wake.

