Radi yauwa watano Kigoma Radi Watu watano wakiwemo watoto wanne waliokuwa wakicheza chini ya mti wakati mvua ikinyesha wamepoteza maisha kwa kupigwa na radi katika Kijiji cha Kibuye, Kata ya Kumsenga wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma. Read more about Radi yauwa watano Kigoma