Prof Jay atuma ujumbe maalum kwa Job Ndugai
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mikumi na msanii Prof Jay ameshea video fupi ya mistari ya ngoma yake ya 'nang'atuka' kwenye mtandao wa Instagram ikiwa maalum kwenda kwa Job Ndugai baada ya kujiuzulu nafasi ya uspika wa Bunge.

