Durrant na rekodi ya kibabe Olympic 2021
Mshambuliaji nyota wa timu ya taifa ya kikapu ya Marekani, Kevin Durrant ameendelea kuonesha bora kwenye michuano ya Olympic inayoendelea nchini Japan na kuwa mfungaji bora wa muda wote wa timu hiyo kwenye michuano hiyo mikubwa duniani kwa kufikisha alama 354.