'Sports Countdown' ya EA Radio Julai 1
'SPORT COUNTDOWN' ya East Africa redio ya leo Julai 1,2021. Ni dondoo za michezo zinazokujia lika siku ya Jumatatu hadi Ijumaa saa moja na robo kutoka kipindi cha Super breakfast kutoka kwa wachambuzi wako Ibrahim Kasuga 'Mtaalam wa soka' na Abissay Stephen Jr.

