Benitez kocha mpya Everton, aweka rekodi

Kocha mpya wa Everton Raphael Benitez

Rasmi Raphael Benitez ametangazwa kuwa Kocha mpya wa klabu ya Everton ya England baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatau (3) utakao muweka katika dimba la Goodison Park hadi mwaka 2024.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS