Ibenge ang'atuka AS Vita baada ya miaka 9 Florent Ibenge(Pichani) alipokuwa akiitumikia AS Vita. Klabu ya AS Vita ya DR Congo imethibitisha kuwa imeachana na kocha wao wa muda mrefu Florent Ibenge mwenye umri wa miaka 59. Read more about Ibenge ang'atuka AS Vita baada ya miaka 9