Dk. Mpango aanza ziara ya Ufaransa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amekutana na mwenyekiti wa kundi la maseneta wa kifaransa marafiki wa Tanzania Mhe. Ronan Dantec ambapo amemuomba kuendelea kuimarisha uhusiano zaidi na Tanzania ikiwemo kuunga mkono jitihada za serikali ya awamu ya sita.

