Tiketi chache kuuzwa kuiona Simba,Yanga Baadhi ya majukwaa ya uwanja wa Taifa Bodi ya ligi kuu Tanzania TPLB imetoa maelekezo juu ya mashabiki wanaopaswa kukata tiketi, kuzitizama Simba na Yanga katika mchezo wa juni 3 2021 katika uwanja wa Benjamin Mkapa. Read more about Tiketi chache kuuzwa kuiona Simba,Yanga