DC Kheri aagiza mikakati shirikishi ya Elimu
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kheri James amesema mijadala inayohusu elimu katika wilaya hiyo haitaangalia kama mwananchi ana elimu kiasi gani au la kwani mikakati inayopaswa kuwekwa kwenye elimu inapaswa kuchangiwa na watu wote kwa faida ya jamii nzima.

