Mourinho aliacha nuksi gani Tottenham? kocha Julen Lopetegui Kocha wa Sevilla Julen lopetegui naye ameikataa ofa ya kuifundisha Tottenham ya Uingereza baada ya kuombwa kujiunga nayo ,kama ambavyo makocha wengine Antonio Conte,Paulo Fonseca Ganaro Gattuso walivyofanya. Read more about Mourinho aliacha nuksi gani Tottenham?