Mobetto na Samatta wateuliwa Pichani Hamisa Mobetto na Mbwana Samatta Waziri wa fedha na mipango nchini, Dkt. Mwigulu Nchemba amewateua, mwanamitindo Hamisa Mobetto , mchezaji wa mpira wa miguu Mbwana Samatta na mchambuzi wa soka Edo Kumwembe. Read more about Mobetto na Samatta wateuliwa