Hukumu ya Mkude yaghairishwa mpaka akapimwe Afya
Kamati ya nidhamu ya klabu ya Simba imeghairisha tena hukumu ya mchezaji wake Jonas Mkude iliyopangwa kusomwa Juni 7, 2021 juu ya tuhuma za utovu wa nidhamu anazoshutumiwa kiungo huyo mkongwe kikosini.