RPC Muslim na Msando watoa neno ajali ya gari
Watu 7 wamepoteza maisha na wengine 24 kujeruhiwa kwenye ajali iliyotokea eneo la nane nane Morogoro ikihusisha magari matatu, Toyota Coaster lililogongana na Toyota Cresta T563 ASA na baadaye Coaster kugongana uso kwa uso na lori namba T658 DJZ.

