KMC yazidi kuwawinda Dodoma Jiji VPL
Kocha msaidizi wa Timu ya KMC FC , Habibu Kondo amesema kuwa kikosi chake kinaendelea kujifua zaidi na mazoezi wanayoendelea kuyafanya ikiwa ni kujiandaa katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Dodoma Jiji utakaopigwa Juni 17 mwaka huu katika uwanja wa Jamuhuri Jijini Dodoma.