Dada wa kazi amuua kwa kumnyonga mtoto wa mwajiri
Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha linamshikilia msaidizi wa kazi za ndani ambaye jina lake limehifadhiwa baada ya kumnyonga shingoni hadi kufa mtoto Tifan Osward, mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu mkazi wa eneo la Olasiti, ambaye aliachwa nyumbani na msaidizi huyo.

