Rais Samia awaasa Watanzania kulinda amani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka watanzania kulinda amani walionayo na kutokuunga mkono mambo yanayolenga kudhoofisha amani ya nchi. Read more about Rais Samia awaasa Watanzania kulinda amani