Wachezaji wa Simba na Yanga wakiwania mpira kwenye moja ya michezo ya Ligi Kuu
Shirikisho la soka nchini TFF limethibitisha kuwa Tanzania itawakilishwa na timu nne kwenye michuano ya vilabu barani Afrika smimu ujao wa 2021-22 kwenye michuano ya klabu bingwa na kombe la shirikisho.