Kajala avunja Ukimya, atoa tamko Picha ya msanii wa filamu Kajala Msanii wa filamu Kajala Masanja amevunja ukimya kwa kusema hajafikia hatua ya kukaa mikao isiyokuwa na maadili kama inavyosemekana kwenye baadhi ya picha iliyoeditiwa ikimuonesha yeye na mtoto wake. Read more about Kajala avunja Ukimya, atoa tamko