Waziri Ummy asitisha ujenzi wa miradi mitatu
Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mtaa Mhe. Ummy Mwalimu amesimamisha ujenzi wa miradi mitatu katika Halmashauri ya Kinondoni ikiwemo mradi wa ujenzi wa stendi ya Mabasi Mwenge kwa ajili ya uchunguzi.

