Wakuu wa Wilaya walioachwa uteuzi wa maDC
Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa wakuu wa wilaya nchini ambapo amewabadilisha vituo vya kazi baadhi yao na ameingiza sura mpya na kuwarudisha waliowahi kushika nafasi hizo na kuwaondoa wengine watatu katika nafasi zao.

