Wijnaldum abadili gia angani Georginio Wijnaldum Mchezaji Georginio Wijnaldum amebadili mawazo ya kujiunga na Barcelona na sasa anatazamiwa kujiunga na PSG kwa kile kilichoelezwa ni kupandiwa dau mara mbili la mshahara na bonansi zake. Read more about Wijnaldum abadili gia angani