Ziyech hana chake Chelsea Hakim Ziyech akiwa na kombe la Ulaya Klabu ya soka ya Chelsea imesema ipo tayari kumuuza kiungo wake mshambuliaji Hakim Ziyech kwenye usajili wa dirisha kubwa msimu ujao, licha ya kukaa kwa msimu moja tu. Read more about Ziyech hana chake Chelsea