Corona yakwamisha mashindano ya Australian GP

Picha inaonyesha namna mashindano ya Australian Grand Prix yanavyofanyika.

Mashindano ya Langalanga ya Australian Grand Prix yaliyopangwa kufanyika Novemba 19-21 mwaka huu yamefutwa kwa mwaka wa pili mfululizo kutokana na janga la Corona.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS