"Kibenten wangu anakuna nazi" - Tabu Mtingita

Msanii Tabu Mtingita na Alex Gitaa

Mchekeshaji Tabu Mtingita amesema amemtoa mbali sana mpenzi wake Alex Gitaa na moja ya sifa za mpenzi wake huyo ni kumsadia kukuna nazi awapo nyumbani wakati wanafanya maandalizi ya chakula.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS