Tamko la Serikali kuhusu gesi asilia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ipo mbioni kuanza kutekeleza mradi wa kimkakati wa uzalishaji wa gesi asilia ya kimiminika (LNG) mkoani Lindi utakaogharimu dola za kimarekani bilioni 30. Read more about Tamko la Serikali kuhusu gesi asilia