"Napenda wanaume wahuni" - Recho Kizunguzungu

Msanii Recho Kizunguzungu kwenye studio ya East Africa Radio

Unaambiwa Recho Kizunguzungu haelewi kitu kuhusu wanaume wahuni, warefu, na weupe kwani anawaelewa kinoma na ndiyo wanaume ambao ana-enjoy nao akiwa kwenye mahusiano.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS