Sports Countdown Julai 6, Manara kuacha kazi Simba
Sports Countdown leo Julai 6, 2021, moja kati ya stori kubwa ni pamoja na timu ya taifa ya Brazil kukuata tiketi ya kucheza fainali ya Copa America, lakini pia msemaji wa Simba SC Haji manara atishia kuacha kazi endapo kama timu yao itafungwa tena na Yanga.

