Rais Samia awaasa viongozi wanawake wasilumbane
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewaasa viongozi katika ngazi za mikao kufanyakazi kwa kushirikiana na kuepusha yale yaliyotoke katika mkoa wa Kilimanjaro wakati Anna Mghwira alipokuwa mkuu wa mkoa huo.