Kocha Namungo atoa mkwara kwa TZ Prisons VPL leo

Kocha wa Namungo, Hened Suleiman Morocco akitoa maelekezo akiwa benchini.

Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara inataraji kuendelea saa 10:00 jioni ya leo kwenye dimba la Majaliwa mkoani Lindi kwa kuwakutanisha wenyeji wa mchezo huo klabu ya Namungo dhidi ya maafande wa jela jela TZ Prisons kwenye muendelezo wa Namungo kucheza michezo yake ya viporo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS