"Mimi kama Mume wa Wajane" - Omary Kumbilamoto
Meya wa jiji la Dar es Salaam Mhe. Omary Kumbilamoto amesema wanawake wajane wa Vingunguti wanamchukulia kama mume wao kwa sababu anawaliwaza na wapo karibu naye katika kushiriki shughuli zao na kuwasaidia.

