Philadelphia 76ers kutinga nusu fainali NBA kesho?

Joel Embid wa Philadelphia 76ers akijaribu kutupia mpira.

Michezo ya mtoano hatua ya nusu fainali ya ligi ya kikapu nchini Marekani 'NBA Playoff' inatazamiwa kuendelea usiku wa kuamkia kesho kwa michezo miwili, Washington Wizard watacheza dhidi ya Philadelphia 76ers saa8:30 usiku ilhali Memphis Glizzlies watakipiga na Utah Jazz saa 11:00 Alfajiri

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS