John McAfee ajiuwa Gerezani
Mjasiriamali wa teknolojia ya Eccentric (Eccentric Tech), John McAfee ameripotiwa kujiuwa katika chumba cha Gereza huko Uhispania Jumatano jioni ikiwa ni masaa kadhaa baada ya ripoti kuzuka kwamba atapelekwa Marekani kujibu mashtaka anayokabiliwa nayo.

