Serikali kutoruhusu chanjo ya corona kiholela
Wizara ya Afya kupitia kwa Katibu Mkuu Prof. Abel Makubi, imeeleza kuwa tayari muongozo wa kuingiza chanjo ya ugonjwa wa Corona nchini umekamilika na chanjo itaingizwa na watu watachanjwa kwa hiari lakini hawataruhusiwa watu kuingiza chanjo kiholera.

