Italia inaogopwa kama ukoma EURO 2020 Wachezaji wa Italia wakishangilia moja ya magoli yao Timu ya taifa ya Italia maarufu kama Azzurri jumamosi ya tarehe 26 /6/ 2020 ilifuzu kucheza hatua ya robo fainali ya michuano ya EURO2020 baada ya kuifunga kwa mbinde Austria 2-1. Read more about Italia inaogopwa kama ukoma EURO 2020