Dkt. Mpango aagiza mbegu za nje zizalishwe nchini 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, amezitaka kampuni zote zinazoagiza mbegu kutoka nje ya nchi kuanza kuzalisha mbegu hizo hapa nchini huku akiagiza Wizara ya Kilimo ijipange kusimamia na kufuatilia utekelezaji wa agizo hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS