Kocha Zidane ajiuzulu Real Madrid Zinedine Zidane Klabu ya Real Madrid ya Hispania imethibitisha kuwa Kocha Zinedine zidane amejiuzulu nafasi yake ya ukocha ndani ya kikosi hicho, hivyo sio Kocha tena wa klabu hiyo. Read more about Kocha Zidane ajiuzulu Real Madrid