Rasmi Yanga yaizidi Simba SC ndani ya miaka 6

Kikosi cha Yanga SC kilichoanza dhidi ya Simba SC Julai 3, 2021.

Watani wa jadi nchini timu za Simba SC na Yanga zimekutana mara 12 katika miaka 6 kuanzia mwaka 2015 ambapo baada ya ushindi wa goli 1-0 iliopata Yanga jana Julai 3, 2021 dhidi ya Simba sasa inaongoza kwa ushindi katika kipindi hicho.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS