Mteja aliyekula mkate wenye tobo kulipwa fidia
Kampuni ya Mini Bakeries LTD ya nchini Kenya imeahidi kumlipa fidia mteja aliyelalamika kupitia mtandao wa twitter kwamba alinunua mkate na kukuta kuanzia kipande cha kwanza hadi cha mwisho vina tobo katikati.