Viongozi wanyanyua mabega waonywa

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa, amekemea tabia ya baadhi ya viongozi wa serikali kujikweza na kunyanyua mabega kiutawala na kuacha kuwasaidia wananchi ambao ndo waajiri wao katika huduma mbalimbali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS