Harmonize aifuata collabo kwa Madiba

Msanii Harmonize

Mwanamuziki na Boss wa Konde Music Worldwide yupo kwa Madiba na amefanikiwa kuingia studio kutengeneza wimbo na nyota wa muziki Busiswa Gqulu ambaye ndiye mwenyeji wake huko nchini Afrika Kusini. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS