Maambukizi ya Corona kuongezeka Kenya mwezi huu

Virusi vya Corona

Maambukizi ya Corona nchini Kenya yataongezeka kufikia katikati ya mwezi Julai, 2021, katika wimbi la nne, hii ni kwa mujibu wa Taasisi ya Utafiti wa Kimatibabu nchini humo (KEMRI) ambapo imesema kuwa wimbi hilo la nne ni la Corona ya India tayari limeshaingia nchini Kenya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS